Aibu! Vunja Jungu yamtokea Puani Njemba…Anaswa akila URODA na Mke wa Mpangaji...
Vunja jungu! Saa kadhaa kabla ya kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, jamaa aliyetajwa kwa jina moja la Lugali ameibua sekeseke kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti), kisa kikidaiwa ni mchepuko...
View ArticleAliye Kuwa Akizuia Magari Yasikanyage Maiti Barabarani Nae Agongwa na Gari na...
WATU wawili wamefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi akiwamo Emmanuel Ndahani (39) mkazi wa Kibamba, aliyegongwa na gari na kufariki dunia alipokuwa akiweka alama za matawi kuzuia gari zisikanyage...
View ArticleBongo Billionaire Le Mutuz Aopoa Kifaa cha Uganda Billionaire Zari ?
Bongo Billionaire Le Mutuz Aopoa Kifaa cha Uganda Billionaire Zari Really? Bilionaire
View ArticleJina la Diamond Laandikwa Kwenye Hollywood Walk of Fame
Diamond yupo jijini Los Angeles Kuhudhuria utoaji wa tuzo za BET jpil trh 29..na moja ya kitu ambacho itakua ni arama na kumbukumbu kubwa kwake,ni jinalake kuandikwa kwenye sakafu ya HOLLYWOOD WAKE OF...
View ArticleMtangazaji Regina Mwalekwa Aikimbia Clouds FM, Apata Deal la Nguvu Redio Kubwa
Leo Asubuhi Mtangazaji wa Clouds FM Mwanadada Regina Mwalekwa Ametangaza wazi kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM kuwa anaacha kazi rasmi katika kituo hicho alichofanya kwa muda mrefu,...
View ArticleUzuri Wooote...Kilichonitumua ni Harufu Mbaya ya Ikulu
Washkaji wote chuo walikuwa wanamtolea macho huyu dada,alikuwa ni mzuri sana,yaani kwa ukubwa na shape ya makalio yake alibandikwa jina la ''MARKING SCHEME''..yaani makalio yake yanasahihisha makalio...
View ArticleHii ni listi mpya ya Forbes ya most powerful celebrities na pesa walizoingiza...
Forbes mtandao unaoaminika kwa kutoa list mbalimbali za uhakika hivi sasa wametoa list ya most powerful celebrities pamoja na pesa walizoingiza tangu June 2013 hadi June 2014.Beyonce amefanikiwa kunaa...
View ArticleMsajili: Mbowe, Dk Slaa Hawana Sifa Kugombea Uongozi Tena Chadema Baada ya...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imesema Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dk Willibrod Slaa hawana sifa za kugombea tena uongozi wa chama hicho kwa kuwa wanabanwa na katiba...
View ArticleUCHAGUZI MKUU SIMBA: Aveva apata ushindi wa kimbunga
Evans Aveva ameula baada ya kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa klabu ya Simba katika uchaguzi mkuu uliofanyika juzi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Bwalo la Polisi, Oysterbay jijini Dar es Salaam.Aveva alipata...
View ArticleBABY MADAHA: Siolewi kwa kufuata Mkumbo…Pesa Ndiyo Kila Kitu Kwangu
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amesema anaishi katika staili ya kivyake hivyo kamwe hawezi kuolewa kwa kufuata mkumbo kama ilivyo kwa wasanii wengine.Akipiga stori na...
View ArticleHenry kilewo 'Hebu Msajili wa Vyama Tumia Akili Yako Acha Kukubali...
Nimesikitika sana siku ya leo kwakuona taarifa juu ya msajili na chama changu cha chadema, hivi msajili umekubali kuitumikia akili yako kwa kuiweka mfukoni ili uisaidie ccm 2015? Kama katiba ya 2006...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ...Has Really Changed This Game na Anastahili HESHIMA Kama...
TUMHESHIMU HUYU MTU:NALETA HOJA TASHTITI ALFAJIRI NA.MAPEMANazidi kuchimba na najiuliza tu maswali...Walisema anatumia Ndumba...Je,Ndumba inavuka bahari??TUTAZAME HISTORIA KIDOGOMWAKA 2011 tuzo ya BET...
View ArticleTid Amtukana Ray C 'Bitch Leave Me Alone' ni Baada ya Ray C Kumuomba Wazungumze
Harakati za Rehema Chalamila aka Ray C kukiokoa kizazi cha Tanzania katika janga la matumizi ya madawa ya kulevya si rahisi kama unavyodhani.itihada za kutaka kumuokoa muimbaji mwenzie, TID anayedaiwa...
View ArticleKwanini Diamond Alimuacha Wema Sepetu Tuzo za BET?
Kama unakumbuka vizuri kwenye tuzo za MTVMAMA...Msanii diamond aliongozana na KIJIJI..yani ni kundi kubwa la watu, kuanzia kina tale, Fella, Aunt Ezekiel, na wengine kibao akiwepo mama la mama yani...
View ArticleWatangazaji watanzania mjifunze kutoka kwa Regina Mwalekwa
Kwanza Hongera Kwa Kupata Kazi Mpya BBCYaani hakuna watu wananikera kusikiliza kama hawa vijana ambao wanajiita "wanavipaji" vya utangazaji na mbaya zaidi hawana taaluma ila wanaishi kwa kudra za Mungu...
View ArticleE. Mbasha kwa Nini Hukujibidisha Upate Hela Zako?
Pole kwa yaliyokukuta but cha kujiuliza pamoja na kuwa kwenye game zaid ya miaka 10 (kwa ufadhili wa Flora) iweje leo unalia lia tu kwenye media kuwa Flora kakuacha? Kwani huna kisomo, nguvu na maarifa...
View ArticleMwanaume kama hujui kutunza utaishia kuitaga shemeji
Sasa leo nataka niseme kitu kimoja kwenu wanaume,Mwanamke mzuri anahitaji pesa jamani,usitegemee utampata mwanamke mzuri kwa sasa hivi kama hauna mkwanja mrefu,hilo sahau kabisa,Vinginevyo utaishia...
View ArticleTouching Story:Mchungaji wa Kanisa Aamua Kumuoa Kahaba
Hili ni simulizi la kweli linalomhusu mwanamke mmoja ambaye alikuwa ni kahaba wa makahaba......Mwanamke huyu alijitambua vyema na kukiri ndani ya nafsi yake kuwa hawezi kuolewa na maname...
View ArticleAliyekuwa Mume wa Dida Edzen Afunguka Sababu za Kuachana na Kupeana Talaka
Baada ya ndoa ya Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu 'Dida' kudaiwa kuvunjika, mumewe anayepiga mzigo TV1, Ezden Jumanne amefunguka mengi kuhusu sababu...
View ArticleMzee wa Upako Anthony Lusekelo Adai Kuteswa na Misukule
MBALI na Askofu wa Kanisa la Full Gosple Bible Fellowship, Zacharia Kakobe kuteswa na misukule inayodaiwa kufufuliwa na baadhi ya makanisa ya kiroho nchini, Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, Anthony...
View Article