Mdomo Wamponza Kafulila…..IPTL Yamdai Fidia ya sh. Bilioni 310
Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imemfungulia kesi Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ikimtaka aombe...
View ArticleSumaye Anusurika Kifo Baada ya Injini Moja ya Ndege ya Precision Air Kuzimika...
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amenusurika kifo hivi karibuni baada ya ndege ya shirika la Precision Air, iliyokuwa ikitoka Mwanza kwenda Dar es Salaam kupata hitilafu ya injini.Ndege hiyo,...
View ArticleJanuary Makamba Akomalia Urais 2015..Awashangaa Wanaombeza
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amesema hatakatishwa tamaa na hatorudi nyuma katika harakati zake anazoziita za fikra mpya na mawazo mapya za kushika dola na kwamba...
View ArticleBrazil Wamtupia Virago Kocha Scolari Baada ya Kichapo cha Saba Moja
Hatimae shirikisho la soka nchini Brazil CBF, limemjibu kocha mkuu wa timu ya taifa ya nchi hiyo Luiz Felipe Scolari, kwa kumuarifu halitomsainisha mkataba mpya.CBF wametoa tamko hilo, baada ya Scolari...
View ArticleRay C asema alivamiwa na kupigwa na Chid Benz ‘amechanganyikiwa na madawa’
Msanii wa muziki na mmiliki wa Ray foundation, Rehema Chalamila aka Ray C amefunguka kwa kusema kuwa alhamisi (july 10) alivamiwa na kupigwa na msanii Chid Benz.Akizungumza na bongo5 leo ,Ray C amesema...
View ArticleRidhiwani Ataja 11 Wanaotosha Kugombea Urais 2015
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ametaja majina 11 ya wanachama wa CCM wanaofaa kuwania urais kurithi kiti cha baba yake, Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake mwakani.Ridhiwani (35), ambaye...
View ArticleBallali Hakuwa Mgonjwa Wakati Akienda Marekani
Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania, Marehemu Daudi Ballali hakuwa mgonjwa wakati akiondoka na aliugua kwa takriban miezi kumi kabla ya kukutwa na mauti, Mei 16, 2008 nyumbani kwake, Washington...
View ArticleMwarabu Amliza Wema Sepetu Shilingi Million 5
KUNA STAA wa sinema za Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘ameingizwa mjini’ na mhariri wa filamu Bongo mwenye asili ya Kiarabu aliyejulikana kwa jina moja la Chidy kwa kuingia mitini na...
View ArticleUkweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015
Naipenda Nchi yangu Tanzania, Namwamini Edward Lowassa 2015 kwa haya tu inatosha mimi kumpatia kura yangu pamoja na familia yangu yote 1. Mwasisi na msimamizi wa Ujenzi shule za Kata zilijegwa jumla ya...
View ArticleNi Aibu kuwa na Waziri kama Membe Wizara ya Mambo ya Nje
Mimi na watanzania wenzangu tunasikitishwa sana na kauli za kujirudia rudia za Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe akitumbukiza Tanzania katika LAANA. Mara hii Membe ananukuliwa na Vyombo vya Habari...
View ArticleEpuka Kuingia Katika Mahusiano ya Ndoa kwa Sababu Hizi
Furaha ya maisha ya ndoa haiji kwa bahati, ni matokeo ya juhudi umakini na kushirikisha imani uliyonayo.Katika mambo unayopaswa kuyaepuka unapotaka kuruhusu maisha ya ndoa ni haya yafuatayo....KULIPIZA...
View ArticleMtuhumiwa wa Kesi ya Tindikali Zanzibar Atiwa mbaroni
Makachero wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumtia mbaroni mtu mmoja, Alawi Mohammed Silima (25), mkazi wa Fuoni Melinne, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Mtu huyo anatuhumiwa kuhusika na tukio la...
View ArticleVigogo Mamlaka ya Bandari Wapandishwa Kizimbani Jijini Dar Kwa Matumizi...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA) na Msaidizi wake, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya...
View ArticleHausigeli wa Miaka 8 Ajeruhiwa Vibaya na Bosi Wake
Mtoto Miseto (8), anayedaiwa alikuwa akifanya kazi za ndani kwa mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Mary Jerald mkazi wa Kijiji cha Busurwa, Wilaya ya Rorya, mkoani Mara ameokotwa ufukweni mwa Ziwa...
View ArticleMwanafunzi wa Darasa la Sita Akutwa Kambi ya Machangudoa Akijiuza
Mwanafunzi wa darasa la sita anayesoma shule ya msingi (jina linahifadhiwa kimaadili) amekutwa kwenye kambi ya machangudoa akidaiwa kujihusisha na biashara haramu ya kuuza mwili.Tukio hilo lilijiri...
View ArticleWastara 'Wanaume Wengi Wanataka Wanioe ili Wanitumie Tu' Wadau Imekaaje Hiii?
Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kuwa tangu mume wake Juma Kilowoko ‘Sajuki’ afariki dunia, wamekuwa wakijitokeza wanaume kibao wakitaka kumuoa lakini amegundua wengi wana nia ya...
View ArticleJoyce Kiria: Ushauri wa Bure kwa Akina Bushoke Majumbani Mwetu Tumewachoka
Nimekunwa mnoooooo na hii post ya Mange huko www.u-turn.co.tz hii post nimecopy Kirohoo Safi ukitaka orijino ya Mange nenda www.u-turn.co.tzMANGE ''Hivi siku hizi ndo imekuwa fashion ndoa zikiharibia...
View ArticleLe Mutuzi:Ndugu Zangu Sio Kila Kinachonga'aa ni Dhahabu Kuishi Majuu Sio Mchezo
Leo naomba mnipe nafasi nijaribu kuwasaidia baadhi ya ndugu zangu Wabongo ambao hawajafika Majuu na wanaota kufika huko, kwenda kutafuta maisha maana wanaamini kule ni Paradise.Binafsi nilikuwa na hiyo...
View ArticleJumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Watoa Tamko Zito Kwa Rais Kikwete
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imetoa tamko zito ikieleza kushangazwa na kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kupinga mapendekezo yaliyomo katika Rasimu ya Katiba iliyotokana na maoni ya Watanzania na...
View ArticleMbowe Matatani Wilayani Hai..Ana Kesi ya Kujibu Mahakamani
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameingia matatani baada ya Mahakama ya Wilaya ya Hai kuona ana kesi ya kujibu katika mashtaka ya kumshambulia mwangalizi wa ndani katika uchaguzi mkuu wa mwaka...
View Article