Daaah! Inasikitisha. Soma Hii Story Huyu Dada Aliyekutana na Mwigizaji Shamsa...
Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja wa kijamii leo hii, mwanadada mwigizaji Shamsa Ford amepost ujumbe huu kwa wale wadada wote wanopenda kutumia mikorogo kama njia ya kuwafanya waonekane warembo Zaidi....
View ArticleHuu ni Ujumbe wa Kajala Kwenda Kwa Mtoto Wake Kwenye Siku ya Kuzaliwa Kwa...
Miaka 12 iliyopita sikuwahi kujua kama itafikia siku nitajisikia hiki ninachofeel siku ya leo.. nimepitia mambo mengi sana na wewe.. nimepata shida nyingi mno lakini sikukuacha wala kukutupa.. kwenye...
View ArticleLinah Aelezea Wivu, Majivuno na Majungu Yanavyowatafuna Wasanii wa Kike Hapa...
Idadi ndogo ya wasanii wa kike Tanzania waliofanikiwa kimuziki na mbio za baadhi yao kuishia sakafuni husababishwa na mengi, lakini kumbe wao binafsi ni sehemu kubwa ya sababu za kuwapunguza kwenye...
View ArticleMoto Wateketeza Nyumba Mwananyamala Hospitali
Moto mkubwa umeteketeza nyumba moja yenye vyemba 12 na mali zote zilizokuwa ndani yake katika eneo la hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam.Kwa mujibu wa kamanda wa polisi Mkoa wa Kipolisi wa...
View ArticleBaby Madaha: Wasanii Wengi wa Bongo ni Washirikina Wanalogana Sana
Staa wa kike anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki na filamu nchini, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ amewatolea uvivu wasanii wenzake kwa kuifumua tasnia hiyo kuwa asilimia kubwa...
View ArticleShilole Awashangaa Wanao Kaa na Kuchonga Kuwa Mpenzi Wake Nuhu ni Serengeti Boy
Mwanamuziki na Staa wa Bongo Movies Mrembo Shilole Amehabarisha na Kusema kuwa Anawashangaa Sana watu wanao kaa Kutwa Kuchonga na Kusema Eti Mpenzi wake Nuhu Mziwandani ni Mdogo kwake kiumri , Shilole...
View ArticleRachel:Sitoki Kimapenzi na TID na Wala Hajanifundisha Kutumia Madawa ya...
Mwanamuziki Rachel Ambaye ni zao la THT na Aliyetamba na Single ya Kizunguzungu amejitokeza hadharani na kukanusha tetesi ambazo zilikuwa headlines week mbili zilizopita kuwa anatoka kimapenzi na TID...
View ArticleWema Sepetu Atoa ya Moyoni na Kusema 'Nimemsamehe Penny'
STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetuamesema baada ya kutokuwa na maelewanokwa muda mrefu na mtangazaji maarufuBongo, Peniel Mungilwa ‘ Penny’ , sasaameamua kumsamehe rasmi kwa heshima yaMwezi Mtukufu...
View ArticleFlora Lymo (Mbuta Nanga) yuko Mahututi Hospitalini, Apimwa Kansa ya Kichwa
Yule dada wa UK kwa jina florah lymo au mbutananga yuko hospitalini kwa matibabu baada ya kuhisi kizunguzungu na kuanguka ghafla. Taarifa zilizohakikiwa ni kwamba alifanyiwa kipimo cha Kansa ya ubongo....
View ArticleLe Mutuz: Thank You Jamiiforums I am A Big Star and Big Celebrity Cause of...
Jamani heshima mbele sana, naomba kuwashukuru sana Jamiiforums I mean JF nimetoka nayo mbali sana na imenifikisha mbali sana na wala sio siri leo ninafahamika kila kona ya Tanzania kwa sababu ya...
View ArticleMr Nice Afunguka Kuhusu Utajiri Wake wa Bilioni 1.5 na Jinsi Ulivyotoweka Ghafla
Mr.Nice akifunguka kuhusu utajiri wake ulivyotoweka ghafla!. Katika hali yakushangaza, Lucas Mkenda au maarufu kama Mr.Nice, finaly afunguka kuhusu utajiri wake na sababu za kushuka kwake kimuziki,...
View ArticleJokate Mwegelo Vs Vanessa Mdee Unamkubali Yupi Zaidi?
They are both smart,classic,intelligent,tale nted,educated and they both have natural beauty... Frankly speaking those chicks are cute but there is something ambacho mmoja kamzidi mwenzie je wewe...
View ArticleSteve Nyerere Alia na Watu Wanaomzushia Kuwa Yeye ni Shoga. Hichi Ndicho...
Mwenyekiti wa bongo movie Unity, Steve Nyerere amechukizwa na watu wanaotumia mitandao vibaya na kwa kumzushia kuwa ni shoga.Steve Nyerere kupitia akaunti yake ya facebook ameandika:Napenda kuchukua...
View ArticleTazama Matokeo ya Kidato cha Sita Mwaka 2014
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka najumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III.Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na...
View ArticleAudio: Diamond awapa baraka zote wanaotumia sura yake kufanya biashara
Diamond Platinumz’ ni jina ambalo linakubalika zaidi ama jina la msanii wa bongo flava mwenye mashabiki wengi zaidi nchini Tanzania, lakini umati wa mashabiki wanaompenda Diamond ni soko la...
View ArticleMtoto wa miaka 8 aiba benki kwa kutumia iPad!
Kuna baadhi ya matukio ya kivamizi tumezoea kuyaona kwenye filamu za kipelelezi huku yakituacha midomo wazi na sifa zote zinaenda kwa mtayarishaji, muongozaji na waigizaji wa filamu hiyo.Lakini hili ni...
View ArticleKafulila:Ikitokea Nikifa Basi Serikali ya CCM Ndio Wahusika Wakuu wa Kifo Changu
Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila amesema endapo itatokea kwa namna yoyote akafa, mhusika mkuu wa kifo chake itakuwa “Serikali ya CCM” na ameagiza kuwa kamwe wasifike kwenye msiba wake wala kutoa...
View ArticleKampuni ya Precision Air Yapata Hasara ya Sh 12.1 Billion
Hali ya kifedha ya kampuni ya usafiri wa anga ya Ndege ya Precision Air bado haijatengemaa baada ya kupata hasara ya Sh12.1 bilioni katika mwaka ulioishia Machi mwaka huu. Hata hivyo, hasara hiyo ni...
View ArticleIkulu: Wanaomkosoa Jakaya Kikwete Kuhusu Katiba Hawako Sahihi
Ofisi ya Rais imesema kuwa wanaomkosoa Rais Jakaya Kikwete kuhusu msimamo wake katika mchakato wa Katiba Mpya hawako sahihi kwa kuwa ni mlezi na ana haki ya kutoa maoni yake kama mkuu wa nchi na kama...
View ArticleWanawake Wengi Walioolewa ni Wepesi wa Kuchepuka..Yaani Simple Kama Kumsukuma...
Wanawake wengi walioolewa wamekuwa wepesi (achilia mbali vidada ambavyo havijaolewa, ingawa navyo ni majanga lakini, afadhali mitego yao kidogo ni negotiable).Wengi wao huwatongozi ila watakutongoza...
View Article