Barua kwa Rais: Mheshimiwa Jakaya Kikwete Umetisha Sana kwa Hili
Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete – natamani ningeonana na wewe ana kwa ana ili nikupe shikamoo yako nzito kwakuwa shikamoo ya kuandika siku zote huwa naiona ni yenye mapungufu. Heshima yako mkuu. Mimi...
View ArticleWalimu 298 Walala Sakafuni KSiku 4 Kufuatilia Mishahara Igunga.
JUMLA ya Walimu 298 wa shule za msingi na sekondari walioajiriwa mwaka huu Wilayani Igunga mkoani Tabora, wameendelea na mgomo wa kubaki katika na kulazimika kulala katika viti na meza katika ukumbi wa...
View ArticleJackline Wolper: Msaka Pesa toka Machame Aliyeangukia Kwa Matapeli wa Mapenzi...
Jackline Wolper ni mmoja kati ya warembo wenye umaarufu mkubwa nchini na katika soko la Filamu za Tanzania.Anamvuto unaokubalika na wengi na ameweza kujipatia umaarufu mkubwa...
View ArticleHamisa: Siwezi Kushea Penzi la Diamond na Wema Sepetu
Kiapo:Modo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto amefunguka kuwa katika maisha yake, kamwe hawezi kushea penzi na mwigizaji Wema .Modo maarufu Bongo , Hamisa Mobeto.Hamisa alisema watu wamekuwa wakimkosea...
View ArticleTatizo la Vodacom (M-PESA) Laua Lushoto
Taarifa zilizonifikia toka Gare LUSHOTO, ni kuwa mama mmoja amefariki dunia kwa kukosa usafiri ulikotana na ukosefu wa fedha japo alikuwa alikua nazo kwenye SimuM-Pesa (VODACOM).Itakumbukwa kuwa huduma...
View ArticleSikiliza na Download Wimbo Mpya wa Ali Kiba na Abdul Kiba-Pita Mbele
Wimbo huu ulianza kuzinduliwa siku ya Jumapili ndani ya New Maisha Club wakati ndugu hawa walipokua wakifanya show,mashabiki wao walishangilia sana wakati wimbo huu ulipokua unaimbwa,Wameamua kuuachia...
View ArticleChenge: Serikali Imekosa Ubunifu Vyanzo vya Mapato
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Andrew Chenge amesema Serikali imekosa ubunifu na haitaki kupokea ushauri kuhusiana na vyanzo vipya vya mapato.a uchumi kwa mwaka 2013, Mpango wa Maendeleo wa...
View ArticleWakenya Ombeni Msamaha Alshabab ni Habari Nyengine
Ombeni msamaha na mkae meza Moja kudhungumza kuhusu kuyatoa majeshi yenu Somalia mambo yaishe hamna uwezo wakukabiliana Na Alshabab. Kwani ni nyinyi mloanza kuingia Somali na kuuwa wanawake na watoto...
View ArticleWatoto Pacha Kufanyiwa Operesheni Nyingine Kuwekewa Njia ya Mkojo ya Kawaida
Watoto pacha waliotenganishwa, Eliud na Elikana watafanyiwa upasuaji mwingine ili kuwatengenezea njia ya mkojo ya kudumu.Pacha hao walizaliwa wakiwa na njia moja ya haja kubwa na ndogo, hali iliyowapa...
View ArticleWaliofanyishwa Ngono na Mganga wa Kienyeji Wengi ni Wake wa Vigogo
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni SanchawaIMEBAINIKA kuwa miongoni mwa wale wanawake 20 waliodai kufanyishwa ngono na waganga wa kienyeji ‘sangoma’ ili kupata ujauzito baada ya kukaa muda mrefu...
View ArticleAudio: Dayna Nyange afunguka kuhusu uhusiano wake na Nando
Mwimbaji wa Nivute kwako Dayna Nyange amezungumzia uhusiano wake na mshiriki wa Big Brother Africa, Ammy Nando baada ya kuonekana katika picha kadhaa wakiwa katika poz tata.Dayna amefunguka jana...
View ArticleUfalme Wamtaka Museveni Kuomba Msamaha kwa Kumuita Mfalme Mtoto
Ufalme wa kitamaduni wa Tooro nchini Uganda, umemtaka Rais wa Uganda Yoweri Museveni kumuomba msamaha mfalme wao na kuondoa matamshi yake ambapo alimuita mfalme huyo mtoto.Taarifa hii ni kwa mujibu wa...
View ArticleOkocha amlaumu kocha wa Nigeria
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, Jay-Jay Okocha amemlaumu kocha wa timu hiyo kwa matokeo mabomu ya timu ya Nigeria iliyocheza dhidi ya Iran Jumatatu.Timu hizo zilicheza mechi ya kwanza ya...
View ArticleHatimaye Mume wa FLORA MBASHA akamatwa na kutupwa rumande
MSANII Emmanuel Mbasha (32) na mume wa Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala akikabiliwa na mashitaka mawili likiwemo la ubakaji.Mshtakiwa huyo ambaye ni...
View ArticleAkimbiwa na Mkewe baada ya madaktari kuupunguza uume wake kwa bahati mbaya
Madaktari nchini Canada wameingia katika matitizo makubwa baada ya kukosea na kumkata mwanaume mmoja sehemu ya uume wake na kupunguza kwa urefu wa inch 1 (sentimeta 2.5).Kwa mujibu wa QMI la Canada,...
View ArticleMatokeo ya Mechi za Jana Kombe la Dunia
Kwenye game zilizochezwa usiku wa June 17 2014 matokeo yake ni Russia 1 (Kerzhakov 74′ ) – 1 Korea Republic goli lao lilifungwa na K Lee kwenye dakika ya 68.Game nyingine ilikua ya Brazil vs Mexico...
View ArticleUPDATE: Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano mwaka 2014
Nafasi za kujiunga na kidato cha tano mwaka 2014 kwa wanafunzi waliomaliza mwaka jana zimetangazwa rasmi muda huu jijini dare s salaam na naibu waziri wa TAMISEMI Bw KHASIM MAJALIWA ambapo zaidi ya...
View ArticleMajibu ya Ridhiwani Kikwete kuhusu NEC na kwa wanaosema anamiliki vituo vya...
Inawezekana hili likawa moja kati ya maswali uliyonayo na hujawahi kupata nafasi ya kumuuliza muhusika au inawezekana ikawa ni ishu ambayo umewahi kuisikia au kuisoma kwenye chombo chochote cha...
View ArticleRihanna Anamzimikia Mchezaji wa Ghana Huko Brazil
Rihanna anamzimikia mchezaji wa Ghana, Kevin-Prince Boateng.Da Bae doe! I might have to be team Ghana on this one idc idc idc pic.twitter.com/3GDQPU5KGe— Rihanna (@rihanna) June 16, 2014Kupitia...
View ArticleExclusive: Meninah asimulia Jinsi Alivyolazimika Kulipa Gharama za Kununua...
Muimbaji wa kundi la Shosteez, Meninah Atick, amesema alilazimika kulipa gharama za kununua gari jipya baada ya kuunguza kwa moto gari lililokuwa limeegeshwa jirani na eneo walilokuwa wakishoot video...
View Article